Wabia wa madhebebu

Wizara ya Tunu (Fedha) na Mambo ya Kidini hushirikiana na taasisi kadhaa pote duniani katika uwanja wa kitaaluma wa mazungumzo ya madhehebu.

Kituo cha Al Amana, Omani

http://www.alamanacentre.org/

Kituo cha Al Amana kinahusiana na kanisa la Kiprotestanti la Amerika na hufanya kazi kimataifa kwa wema wa kawida kwa kujenga madaraja ya uelewano na ushirikiano kati ya Waislamu na Wakristo.

Kituo cha mtakatifu Filipo, Leicester, Uingereza

http://www.stphilipscentre.co.uk/

Kituo cha mtakatifu Filipo ni kituo cha fadhila kilichoanzishwa mwaka wa 2006 chini ya himaya ya Askofu Mkuu wa Canterbury, na kipo katika mazingira ya Leicester mji katika Uingereza ulio na wakaazi wa makabila mbalimbali. 

Ari za Umoja wa Dini (URI)

http://www.uri.org/

URI ni mtandao wa kilimwengu wa ngazi ya chini wa madhehebu ambao huendeleza amani na haki kwa kuhusisha watu kuziba tofauti za kidini na kitamaduni na kufanya kazi pamoja kwa hisani ya jumuiya zao duniani kwa ujumla.

Al Istiqama, Tanzania

Chuo Kikuu cha Cambridge, Uingereza

http://www.interfaith.cam.ac.uk/en/education/summerschool

Kila majira ya joto, mpango wa madhehebu wa Chuo Kikuu cha Cambridge huleta watu pamoja, kikundi cha kimataifa cha viongozi wa dini kutoka usuli wa Uislamu, Ukristo na Uyahudi kujishughulisha kwa undani kuhusu maingiliano ya kidini, pia ukutanishaji wa tamaduni mbalimbali kwa mujibu wa kutafuta njia busara za kuweka amani na juhudi za kugeuza au kuzuia ugomvi.