Filamu na Video

Filamu na video zilizoonyeshwa hapa zinahusika hasa na maonyesho na Omani kwa ujumla.

_______________________________________________________________________________________________________

Maonyesho-na video fupi zinazohusika

_______________________________________________________________________________________________________

Filamu: Uvumilivu wa Kidini katika Omani

Uvumilivu ni kitu unachoweza kukiwazia, kukizungumzia, kukitolea nadharia vile unavyopenda, lakini ni kitu kinachohisiwa kibinafsi. Kupatia nafsi uzoefu huu, ni njia ya kufundishia ilivyotumiwa na mkurugenzi Wolfgang Ettlich katika mwelekeo wake wa uhifadhi wa dini na tamaduni za kiislamu za Omani. more...

_______________________________________________________________________________________________________

Film: Islamic Art in Oman

Kama mabaharia, Waomani walihusika katika mabadilishano changamfu na tamaduni nyingine mbalimbali kwa maelfu ya miaka. Hapa waliweza kukuza uwezo wa kuchanganya asili ya tamaduni nyingine na zao, bila kupoteza utambulisho (Uasili) wao. Kutokana na uzoefu huu, Waomani wanakuza ustadi wa kisasa kupitia njia zao wenyewe zinazokubaliana na Uislamu. angalia filamu ...

_______________________________________________________________________________________________________

Video zaidi kuhusu Omani