Islamic Art in Oman

Kama mabaharia, Waomani walihusika katika mabadilishano changamfu na tamaduni nyingine mbalimbali kwa maelfu ya miaka. Hapa waliweza kukuza uwezo wa kuchanganya asili ya tamaduni nyingine na zao, bila kupoteza utambulisho (Uasili) wao. Kutokana na uzoefu huu, Waomani wanakuza ustadi wa kisasa kupitia njia zao wenyewe zinazokubaliana na Uislamu.